• YESU KRISTO NI MWOKOZI, MCHUNGAJI NA MFALME WETU MKUU – 1

    YESU KRISTO NI MWOKOZI, MCHUNGAJI NA MFALME WETU MKUU – 1

    Uchambuzi wa Zaburi 22, 23 na 24 UTANGULIZI Wakati Yesu amefufuka na habari zake zikizidi kuenea, kuna tukio moja ambalo Daktari Luka anaandika kwenye ile Luka 24. Maandiko yanasema, “Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili. Nao… Read more

  • UNAPOSAMEHEWA DHAMBI – 2

    UNAPOSAMEHEWA DHAMBI – 2

    DHAMBI INAPODHIHIRISHWA/KUTUBIWA Daudi alikuwa ni aina ya yule mpendwa ambaye mpaka atubu dhambi aliyoifanya ameitwa na mchungaji na kuambiwa amefanya dhambi. Ilibidi Mungu amtume Nabii Nathani kwa Daudi, tena na akampa hekima ya kusema naye ili ajutie dhambi aliyofanya na kutubu Huwa inatokea, hata mtu akiitwa na mchungaji kuelezwa alichofanya, bado atakataa hajafanya hiyo dhambi… Read more

  • Vitabu vitatu vitakavyobadilisha maisha yako ya maombi kabisa

    Vitabu vitatu vitakavyobadilisha maisha yako ya maombi kabisa

    “Kitabu ni zawadi ambayo unaweza kuifungua tena na tena”, ni maneno yaliyosemwa na Garrison Keillor, mwandishi wa vitabu kutoka Marekani. Kila unapoifungua zawadi hii ya kitabu na kusoma tena na tena, maisha yako hayawezi kubaki vile vile, lazima utapiga hatua kuboresha maisha yako. Kuna kundi kubwa la watu wanaopenda kuboresha na kubadilisha maisha yao ya… Read more

  • KUJITIA NGUVU KATIKA BWANA

    KUJITIA NGUVU KATIKA BWANA

    ‭‭1 Sam‬ ‭30:6‬ ‭SUV‬‬ [6] Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana nafsi za hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini *Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake*. Maisha yetu yamejawa na changamoto za aina mbalimbali na kila mmoja hupitia… Read more

  • UNAPOSAMEHEWA DHAMBI – 1

    UNAPOSAMEHEWA DHAMBI – 1

    UTANGULIZI Kwa sisi tulio kanisani yaani tumeokoka, tunapoizungumzia dhambi usianze kunyoosha kidole chako kwa wale ambao hawajaokoka bado kwamba ndio wafanya dhambi. Ni kweli wanafanya dhambi kwa sababu wameacha alama ya maonyo tuliyopewa na Mungu Mchungaji Godfrey Mwaifwani kwenye kitabu chake cha UTAKATIFU anasema kwamba, “dhambi ni eneo pana, hata kushindwa kufanya yale mema ambayo… Read more

  • UPENYO DHIDI YA MAPITO MAGUMU – 2

    UPENYO DHIDI YA MAPITO MAGUMU – 2

    2. Unapopita katika magumu, tembea katika njia za Mungu (usiache ibada) Kwenye mapito magumu unaweza kujikuta njia panda, ukimbie ibada au uendelee na ibada. Kukimbia ibada inakusogeza karibu na kusanyiko la watenda mabaya, watu waovu, wanafiki na wenye ubatili. Ukichagua upande huu huwezi kupata upenyo kwenye mapito magumu Daudi anatufundisha upande wa kuchagua, kuendelea na… Read more

TUBARIKI KWA SADAKA YAKO

KIASI CHOCHOTE