• UPENYO DHIDI YA MAPITO MAGUMU – 1

    UPENYO DHIDI YA MAPITO MAGUMU – 1

    UTANGULIZI Wakati hali zinazotuzunguka zinapokuwa za kutisha na za kukatisha tamaa inatakiwa kumtazama Mungu na kujitia nguvu katika yeye “Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana nafsi za hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika Bwana,… Read more

  • KUMFAHAMU YESU KRISTO – 2

    KUMFAHAMU YESU KRISTO – 2

    YESU NI MCHUNGAJI [ZABURI YA 23] Kweli Zaburi hii ya 23 inasema wazi kabisa kwamba Bwana ndiye mchungaji wetu, na Bwana anapokuwa mchungaji maana yake anatulea, anatulisha na kututosheleza kiasi cha kutohitaji, kupungukiwa wala kukosa mahitaji ya muhimu na ya lazima. Sisi ndiyo kondoo na kwamba Mungu anahakikisha tunapata kila kitu kinachotakiwa kwa ajili ya… Read more

  • KUMFAHAMU YESU KRISTO – 1

    KUMFAHAMU YESU KRISTO – 1

    UTANGULIZI Wakati Yesu amefufuka na habari zake zikizidi kuenea, kuna tukio moja ambalo Daktari Luka anaandika kwenye ile Luka 24. Maandiko yanasema, “Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili. Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za… Read more

  • Tangazo maalumu

    Tangazo maalumu

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi Tuna tangazo maalumu kwa anayependa kujifunza kuandika kitabu au kufahamu mchakato wa kutoa kitabu au kuongeza maarifa ya kuuza kitabu chake.  Ni kwamba,  Kuna vitabu vitatu ambavyo viko kwenye PUNGUZO LA 20% mpaka tarehe 30/09/2023. Vitabu hivyo ni; Unapataje hiyo ofa sasa?  Baada ya kusoma vitabu utapata maarifa ya kukusaidia unapoingia kwenye uandishi… Read more

  • ILI NENO LA MUNGU LILETE MATOKEO KWENYE MAISHA YAKO – mwisho

    ILI NENO LA MUNGU LILETE MATOKEO KWENYE MAISHA YAKO – mwisho

    KULITAMKA neno peke yake bila kulitafakari halileti matokeo kwenye maisha yako, na KULITAFAKARI neno peke yake bila KULITENDA, bado pia halitaleta matokeo kwenye maisha yako. Read more

  • ILI NENO LA MUNGU LILETE MATOKEO KWENYE MAISHA YAKO – sehemu ya pili

    ILI NENO LA MUNGU LILETE MATOKEO KWENYE MAISHA YAKO – sehemu ya pili

    mpendwa anayeishia kulitamka neno tu, na yule anayeenda mbele zaidi KULITAFAKARI neno watakuwa ni watu wawili tofauti tukiangalia yale matokeo ya neno kwenye maisha.. Read more

TUBARIKI KWA SADAKA YAKO

KIASI CHOCHOTE