• Vitabu Vinne Vya Kukujenga Na Kukuimarisha Kiroho.

    Vitabu Vinne Vya Kukujenga Na Kukuimarisha Kiroho.

    Mkristo anayeulisha ufahamu wake kwa kusoma vitabu vya kiroho nilivyoandikwa na watumishi wa Mungu ana nafasi ya kukua, kujengeka na kuimarika kiroho kuliko mkristo yule asiyefanya hivyo. Lakini kutafuta kitabu bora cha kiroho ili kukiweka kwenye orodha yako ya vitabu vya kusoma si jambo jepesi. Hivyo basi, tumekuandalia orodha ya vitabu vinne vya kukujenga na… Read more

  • ILI NENO LA MUNGU LILETE MATOKEO KWENYE MAISHA YAKO – sehemu ya kwanza

    ILI NENO LA MUNGU LILETE MATOKEO KWENYE MAISHA YAKO – sehemu ya kwanza

    Hakuna mtoto wa Mungu asiyetamani kuona neno la Mungu linaleta matokeo kwenye maisha yake. Si kweli jamani? Hasa hasa kwenye kuona zile baraka zilizo ndani ya neno. Kwa mfano, neno likisema kwa habari ya afya, utamani uone hiyo afya kwa maisha yako. Ni kweli kabisa mafanikio yetu yote kwenye eneo lolote la maisha yetu kuanzia… Read more

  • MUNGU AKIKUITA KWENYE HUDUMA

    MUNGU AKIKUITA KWENYE HUDUMA

    Nianze na andiko hili la Waebrania 10:5 “Kwa hiyo ajapo ulimwenguni, asema, Dhabihu na toleo hukutaka, Lakini mwili uliniwekea tayari;” Hofu ya wapendwa wengi ni pale Mungu anapomwita kwenye huduma au wito wa kumtumikia. Si maeneo yote ya huduma ila kuna baadhi ya huduma kama vile utume, uchungaji, uinjilisti na kadhalika mpendwa anapoitwa na Bwana… Read more

  • MWANZO WA MWAKA

    MWANZO WA MWAKA

    Naguswa tu moyoni mwangu kusema jambo kuhusu mwanzo wa mwaka Kwenye maandiko, kwenye mwanzo wa mwaka kulitokea matukio yafuatayo 1. Wafalme walienda kupigana. Ilikuwa ni kawaida mwanzoni mwa mwaka kwa wafalme kwenda kupigana. Hii inatupa funzo gani?. Hata ikawa, mwanzo wa mwaka mpya, wakati watokapo wafalme kwenda vitani,… 2 Sam 11:1 SUV Umeona hilo andiko?.… Read more

  • SABABU 7 KWA NINI AGANO JIPYA NI BORA ZAIDI.

    SABABU 7 KWA NINI AGANO JIPYA NI BORA ZAIDI.

    1. Agano jipya lilianza kwa damu ya Yesu kumwagika pale msalabani. 2. Agano jipya lina AHADI za juu na bora sana ambazo hazibadiliki kwa sababu zimetiwa muhuri na kiapo cha Mungu. Kumbuka kwamba ahadi yenye kiapo haiwezi kubadilika. 3. Kwenye agano jipya, watu ni waaminifu kwa sababu Roho Mtakatifu anaishi ndani yao. Kwenye agano la… Read more

  • MUNGU WA SIRINI – 1

    MUNGU WA SIRINI – 1

    Sasa kama washami walivyosema Mungu wa milima, ndo huyo huyo akawa Mungu wa tambarare, na Daudi anamshukuru Mungu huyu hadharani mbele ya kusanyiko na watu, nikwambie kwamba yupo Mungu wa sirini pia, huyu ni Mungu aliye sirini, Mungu aonaye sirini. Read more

TUBARIKI KWA SADAKA YAKO

KIASI CHOCHOTE