17

“Imani ni NGUVU, na ikiwa Haba, badala ya kukuunganisha kwenye ile “chanel” ya kupokea, inakutoa kwenye “chanel” ya kupokea.” – Daudi Lubeleje

12650890_855229037936719_1689801951825126170_n

“Mimi na mke wangu mpendwa tunachukua nafasi hii kukushukuru sana Daudi Lubeleje kwa masomo yako makuu sana ambayo yanatupa kuhuishwa nafsi zetu kila iitwapo leo, Mungu wa mbinguni akubariki sana mtu wa Mungu”

-Salaam kutoka kwa Mr & Mrs seth nyenzi

 

Mr & Mrs Seth Nyenzi

14199680_534974069960717_6654761606485568295_n

“Mtumishi hakika ubarikiwe sana sana na Mungu wa mbinguni…………….,ila naomba sana ukiwa na masomo zaidi ambayo unaona yatanijenga tafadhali usisite kunitumia. Amani ya Kristo Iwe nawe, na nawatakia Utumishi Mwema”

-Merito Tagalile

Merito Tagalile

%d bloggers like this: